MAdhehebu ya Tanzania

MAdhehebu ya Tanzania

SONGEA

Senior Member
Joined
May 29, 2008
Posts
101
Reaction score
9
Nawezaje kupata list ya madhehebu ya dini yaliyo nchini Tanzanzia???
 
Unafanya utafiti kwa ajili ya nn wenzako walifanya iliwatokea puani
 
Ukituambia lengo lako tunaweza kukusaidia.
 
Tukianzia yaliyopo Mbeya tutakuwa tumemaliza robo tatu ya kazi hii ktk nchi nzima. Watu wa Mbeya tusaidieni basi. Watu wa hapo Iyunga, Ikuti, Itende, Nzovwe, Simike Meta, Santiliya, Majengo, Sisimba, Block Q, Block T, Ghana, Soko Matola, Stand kuu, Mafiat, Mwanjelwa, Mama John, Uyole, Mbalizi na kwingine kote huko kuna madhehebu manne manne, hebu tusaidieni hapa. Mimi naanza na Kanisa la Jesu Jo Lutengano lililopo Mwanjelwa, tuendelee...
 
Back
Top Bottom