Madhara ya vidonge vya PEP

Madhara ya vidonge vya PEP

Ni dawa za kuzuia HIV kama umefanya sex na mtu unayedhan ana HIV ili kujiweka salama

Hivi vidonge vinapatikana hata pharmacy or mpaka uwe recommended na daktari?vinafanya kazi mda gani baada ya tendo??asante kwa ufafanuzi
 
1093937
 
Hapana pharmacy sidhan kama vipo,,, kuhusu kufanya kazi wanasema masaa 72 baada ya tukio,,, lakin the more unavowahi ndo na ufanisi wa dawa kuzuia maambikizi unakuwa mkubwa
 
Asante
 
Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
Hizi dawa huwa ni Kali sana,ila kinachotakiwa kunywa Maji mengi Jitahidi kula sana maana zina nguvu sana.huwa sina kichefuchefu,kizunguzungu wakati mwingine hata kutapika
 
Shukran sana mkuu kwa ufafanuz
 
Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
PEP pia inategeme huyo mpenzi wako alikua anatumia dawa akiwa katika mstari gani wa dawa kama ni mstari wa kwanza "first line" mstari wa pili"second line"... Kwaio kama akiwa mstari wa kwanza utatumia pep ya mstari wa kwanza kama atakua mstari wa pili utatumia pep ya mstari wa pili ila yote kwa yote Tanzania pep ni Mstari wa kwanza hatujarishi mhisiwa alikua katika mstari gani wa dawa....kwaio ni Mwendo wa TLE au TLD...ila ukimwi kuupata nao kazi siku maana kama mpenzi wako anatumia dawa vizuri na viral suppression ikawa vizuri hadi majibu yakasoma Target not Detected huyo hata uende kavu kavu hupati maambukizi
 
Hii PEP zinatumiwa mda gani baada ya tendo and zinazuia nini exactly??naombeni ufafanuzi
Kabla ya masaa 72 kuisha baada tu ya kutokewa na jambo kama hilo

Na huwa inatumiwa ndani ya mwezi mmoja baada ya hapo unaenda kupima ukikuta fresh majibu basi wanakuachia
 
Asante sana kwa maelezo ila mpaka inafikia kwenda kutumia dawa hii inamaana umekosa imani na mechi uliyouza kwa kiasi kikubwa sana
 
Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
Mpira ulivyopasuka ulipata mchubuko mkuu?
Kama laa possibility ya kupata maambukizi ni 20% utaniambia siku ukifika kwa wale washauri kule kitengo

Wanakuambia achana na hii kitu
Ila next time kuwa makini usipende kufakamia hovyo.

Ungemwambia before ndipo mpime sasa baada halafu ukute umemnyonya....si itakuwa hatari!
 
mzee baba heka heka yote hii sababu ya starehe ya dk 10 na mpta njia... i hope you have learned your lessson
 
Niliwahi meza pep asee nilijihisi kufakufa. zile dawa ni very strong, usiku unaota ndoto mbaya. mchana unapoteza kumbukumbu, kiufupi sio advisable kutumia sababu pia zinaweka athari kwenye maini. utaambiwa urudi kupima utendaji kazi wa ini baada ya siku 15 kutumia dozi
Sikumalizaga dozi kwakweli.
Kila la kheri mdau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom