Madhara ya vidonge vya PEP

Madhara ya vidonge vya PEP

Niliwahi meza pep asee nilijihisi kufakufa. zile dawa ni very strong, usiku unaota ndoto mbaya. mchana unapoteza kumbukumbu, kiufupi sio advisable kutumia sababu pia zinaweka athari kwenye maini. utaambiwa urudi kupima utendaji kazi wa ini baada ya siku 15 kutumia dozi
Sikumalizaga dozi kwakweli.
Kila la kheri mdau.
Hebu tuwekee kisa hapa mkuu, ilikuwaje mpk ukafikia hatua ya kumeza, na vipi umeshapima HIV hivi karibuni kutazama km dawa hizo zilikusaidiaje?
 
Mkuu shukran cjui kama ana VVU, ila nmeamua nitumie kwa vile nlikuwa na waswas naye
PEP pia inategeme huyo mpenzi wako alikua anatumia dawa akiwa katika mstari gani wa dawa kama ni mstari wa kwanza "first line" mstari wa pili"second line"... Kwaio kama akiwa mstari wa kwanza utatumia pep ya mstari wa kwanza kama atakua mstari wa pili utatumia pep ya mstari wa pili ila yote kwa yote Tanzania pep ni Mstari wa kwanza hatujarishi mhisiwa alikua katika mstari gani wa dawa....kwaio ni Mwendo wa TLE au TLD...ila ukimwi kuupata nao kazi siku maana kama mpenzi wako anatumia dawa vizuri na viral suppression ikawa vizuri hadi majibu yakasoma Target not Detected huyo hata uende kavu kavu hupati maambukizi
 
Mpira ulivyopasuka ulipata mchubuko mkuu?
Kama laa possibility ya kupata maambukizi ni 20% utaniambia siku ukifika kwa wale washauri kule kitengo

Wanakuambia achana na hii kitu
Ila next time kuwa makini usipende kufakamia hovyo.

Ungemwambia before ndipo mpime sasa baada halafu ukute umemnyonya....si itakuwa hatari!
Mkuu hata sikunyonya wala hata sikuchubuka coz uke ulikuwa na majimaji ya kutosha, pia kuhusu kupima, pia kuhusu kupima Doctor niliyemkuta alisema kwa vipimo vingi vinavyotumika hapa bongo ni vya mwezi mmoja baada ya kuwa kwenye risk ndoo vinasoma kama upo infected au la,

NB.... saiz dozi nshaizoea nimemaliza week1
 
Niliwahi meza pep asee nilijihisi kufakufa. zile dawa ni very strong, usiku unaota ndoto mbaya. mchana unapoteza kumbukumbu, kiufupi sio advisable kutumia sababu pia zinaweka athari kwenye maini. utaambiwa urudi kupima utendaji kazi wa ini baada ya siku 15 kutumia dozi
Sikumalizaga dozi kwakweli.
Kila la kheri mdau.
Mkuu tupe mkasa wako,, na vipi urirud kupima ini
 
Kuanza kuota ndoto za kufa kufa...ukiendelea wiki tatu utakutana na Ruge kwny ndoto
 
Mkuu hata sikunyonya wala hata sikuchubuka coz uke ulikuwa na majimaji ya kutosha, pia kuhusu kupima, pia kuhusu kupima Doctor niliyemkuta alisema kwa vipimo vingi vinavyotumika hapa bongo ni vya mwezi mmoja baada ya kuwa kwenye risk ndoo vinasoma kama upo infected au la,

NB.... saiz dozi nshaizoea nimemaliza week1
Mkuu pole sana lakini muogope Muumba wako fanya uoe kabisa mkuu

Hii ya kula kula njiani ina cost sana
 
ndoto mbaya,kukosa usingizi, kizunguzungu, kichefuchefu na mood mbaya kwa ujumla duuuh nilikua nikiviona nadata
Ok ,,, mwenyew saiz hizi dalili ndoo nazokutana nazo japo nshaanza kuzizoea
 
Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
Vip kk, mm nimgeni humu jamii frm..
Nimeikuta hii mada leo. Samahani nataka kujua ,je umezitumia hizodawa vile ipasavyo?? na je baada ya kumalizadozi ulijicheki tena na ukawa huna maambukizi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom