Mkuu umenena kitu muhimu laiti hawa ccm wangeliona hili basi wasingethubutu kuhangaika na upuuzi huu.
Shida ya kule hawatumii akili kufikiri.... Itawezekana vipi mtu kula yake peke yake ni ya shida hiyo hela ya kujaza mtungi wa24k hata kama ni mara 1 kwa mwezi hiyo pesa kuipata ni wachache sana.
Hoja niliyo bold hapo izingatiwe sana tena tusisubiri ccm waseme tuanze mara moja ukipanda miti 10 kwa mwak na ikapita yote hiyo ni hatua kubwa ndani ya miaka5 ina miti50 sio kidogo je1 Kama ukipanda miti 50 kila mwaka?