Madhara ya simu za mkononi kiafya ni yapi?

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Tumezoea kuambiwa madhara ya simu za mikono na wataalam mbalimbali wakiwemo wa afya.
Madhara haya twaambiwa wenda yasionekane kipindi cha awali cha matumizi ya simu, na badala yake kuonekana baadaye, na muda mwingi mwathirika asijue kama tatizo ni simu aloitumia kipindi kilichopita.

swali langu ni kwamba, ujio wa simu mpya ORIGINAL kutamaliza matatizo haya ya madhara?
pili, naomba anayejua madhara hayo anieleze kinagaubaga, maana tunaambiwa lakini hatupewi mifano ya madhara hayo.
 
Back
Top Bottom