It is a polite and sound caution to the political snare. They have think hard, react to the strategy, and walk carefully. "Mama anataka kunasa ndege mjanja kwa kumtupia mtama".Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Labda ni maneno tu ndio yanatofautiana maana lakini kitu ni kile kile.Serikali ya mseto huwa inakuja pale vyama vinapopishana kidogo kama kule Zanzibar ccm na cuf ila kwa muungano ni ngumu kuwa na serikali ya mseto
Mkuu,Tulia mkuu kina mmawia wafurahie mama akiwakomesha mataga!
Kuna tofauti kati ya kuwa Kiongozi na mtendaji wa serikali.Wapinzani si wanatka kuongoza ??? Wanapewa nafasi ili waongoze then lengo linakuwa limetimia.
Hawa kwa jinsi ninavyowafahamu hawawezi kuchomoka kwenye huu mtego.It is a polite and sound caution to the political snare. They have think hard, react to the strategy, and walk carefully. "Mama anataka kunasa ndege mjanja kwa kumtupia mtama".
Ni wajinga flani hivi!Hahahaa.... yaaniii....
Mimi siku zote nina mashaka na hawa wanaoitwa wapinzani. Hawaelewi nini wanachotaka.
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Inaonekana hauujui upinzani . Huwezi kujua ukali wa chawa kwenye kitanda usichokilalia!Hahahaa.... yaaniii....
Mimi siku zote nina mashaka na hawa wanaoitwa wapinzani. Hawaelewi nini wanachotaka.
Hahahaha unadhani Upinzani umejaa mbumbumbu kama CCM?Tulia mkuu kina mmawia wafurahie mama akiwakomesha mataga!
Ni mambumbumbu mno! Hilo halina ubishi.Hahahaha unadhani Upinzani umejaa mbumbumbu kama CCM?