Tufafanulie zaidi, ingekuwa kwa nchi maskini labda, sasa inakuwaje kwa nchi tajiri zenye demokrasia ya kweli na bado kuna minara katikati ya mitaa?kuna mionzi mikali sana inasambaa , lakini kwa kuwa ni mambo ya uchumi inakuwa ngumu sana kueleza na kukubalika , kwamba kuna madhara , yaani ni sawa na mnywa pombe +mwenye bar+mwenye kiwanda , nani atamshauri mwenzake
Tufafanulie zaidi, ingekuwa kwa nchi maskini labda, sasa inakuwaje kwa nchi tajiri zenye demokrasia ya kweli na bado kuna minara katikati ya mitaa?
Mkuu acha vituko, kwani mataifa yaliyoendelea yana maghorofa kila sehemu? Ukiondoka urban area (city center) minara yote inachimbiwa ardhini kama bongo ilivyo, na inachimbiwa mitaani ili kutoa service kwa community iliyo karibu na huo mnara. Na antenna nyingi zilizo mfano wa drums ni kwa ajiri ya kurusha matangazo ya TV na Radio siyo simu.Nchi zilizoendelea minara haipo kwenye mitaa sababu kuna maghorofa mengi halafu ni marefu..nchi kuna madude design ya drums hivi zipo kwenye roof tops
Mbona sioni jibu la kisayansi katika sentensi zako hapo juu? Nimemuuliza mchangia hoja atueleze kuhusu hiyo mionzi mikali sana...Hoja ya mleta uzi ni je kuna madhala gani? Kama ni mionzi ni mionzi ipi?
Sas haya ya nchi masikini na tajiri yanatoka wapi? Au majibu ya kisayansi hakuna?!
Mbona sioni jibu la kisayansi katika sentensi zako hapo juu? Nimemuuliza mchangia hoja atueleze kuhusu hiyo mionzi mikali sana...
Mkuu Mulana nimekuelewa sana, ukiangalia mchangia hoja wa kwanza kasema "kuna mionzi mikali sana inasambaa" Nafikiri kwa mimi ambaye sijui hiyo mionzi mikali ndo nimeomba mjibu hoja mkuu UVUGIZI afafanue kitaalam hiyo mionzi ina madhara gani, na ikiwezekana atupatie data kidogo kuonyesha madhara yaliyowakumba waishio karibu na minara hiyo. Hapo kwenye bold, si vile kwamba mada nyingine ilianzishwa ila ilikuwa kutilia mkazo utata uliopo katika jibu la mkuu Uvugizi.Raaj aliomba aelezwe madhara ya mionzi itokanayo na nguzo za simu, kutokana na kwamba kitaani kwao voda wameweka mnara. Katika majibu yaliyokuwa yamefikiwa mpaka hapo na post hoja yangu ni kwamba, hakukuwa na majibu kulingan na muulizaji.
Ndicho nili comment kwamba mbona majibu hayajatolewa na wachangiaji na badala yake wameingiza mada zingine ndani ya hii. Umenielewa sasa au bado ndugu juakali?
Allow me to assist. Kwanza tuanze na mionzi yenyewe. mionzi(Radiation) ipo of seven types (if i can remember) Gamma, X-rays, Ultraviolet,Visible light Infrared and Radio waves,so mtu akisema mionzi ni one of these seven, na tofauti kati yake ni frequency. Gamma has the hiqhest frequency zinashuka mpaka radio which has the lowest frequenc. Unfortunately binadam tunaweza kuona range ndogo tu ya frequency za mionzi ambapo ni hapo kati kwenye mwanga. mionzi mingine hatuna uwezo wa kuiona bila vifaa maalum. But kuna wanyama wanaweza kuona range zingine pia (Infrared mostly).So hio ndo general view of what radiation is, Now to topic. Minara ya simu inatumia na kutoa mionzi yenye frequency za Radiowaves.
EFXS(madhara)
-Asilimia kubwa ya mionzi inaweza kupita through matter,na kwasababu ina energy inaweza kufanya physical effects kwenye inner organs. Which affects the DNA structure and can lead to things like cancer or birth defects.
SWALI: Je network tower zina madhara?
Yeah, (i'm not going to go into details ila ni cancers and defects as i said). Lakini know this, sio wewe tu uliekaribu unaetakiwakuwaza hayo, powerful radio waves are everywhere, Nyaya za umeme juu yetu, WI-FI signals etc infact kama upo tu eneo lenye network na simu inafanya kazi jua you're getting almost the same dose na yule aliekaa pembeni ya mnara maana radiations inachukua umbali mrefu kupungua nguvu na ikipungua tu kuna mnara mwingine nearby kufanya network isipotee. so wote ni victims.
Its a very long topic/discussion but i tried my best to put it in a Layman's terms and very short, if more explanations are needed, will be glad to share.
Kupata picha ya Range ya mionzi(Electromagnetic spectrum) ni hii. Gamma kushoto with very high frequency na Radio kulia with low frequency.
![]()
Happy to share the knowledge 🙂Ahsante kwa elimu mkuu
Nice review paper. Nimependa the part where they actually show the effects of the waves on the testes in a 3D plane with x, y and z coordinates. Ila there is no way of escaping this, our world is evolving, technology is advancing as well lets hope humans also evolve to be resistant to high frequency radiation maana some studies also zilionesha cells are in resonance with the earth at abt 10Hz frequency so bombarding them with the usual 1900Mhz(1,900,000Hz radiations from cell phones is a bit unhealthy.
Huo mfano wako nilioubold nimeupenda sana @uvuguzi.kuna mionzi mikali sana inasambaa , lakini kwa kuwa ni mambo ya uchumi inakuwa ngumu sana kueleza na kukubalika , kwamba kuna madhara , yaani ni sawa na mnywa pombe +mwenye bar+mwenye kiwanda , nani atamshauri mwenzake
kuna mionzi mikali sana inasambaa , lakini kwa kuwa ni mambo ya uchumi inakuwa ngumu sana kueleza na kukubalika , kwamba kuna madhara , yaani ni sawa na mnywa pombe +mwenye bar+mwenye kiwanda , nani atamshauri mwenzake
AAhhh kumbe mkuu tatizo mimi nimetembelea urban areas tuu..exposure za kigoma, au Kasulu za huko ulaya sizijui..Mkuu acha vituko, kwani mataifa yaliyoendelea yana maghorofa kila sehemu? Ukiondoka urban area (city center) minara yote inachimbiwa ardhini kama bongo ilivyo, na inachimbiwa mitaani ili kutoa service kwa community iliyo karibu na huo mnara. Na antenna nyingi zilizo mfano wa drums ni kwa ajiri ya kurusha matangazo ya TV na Radio siyo simu.