..hebu belinda kuwa muwazi tukusaidie.Masa na Fidel80!
No doubt nyie mnaona ina raha sana,hatukatai. Pia kama mwanamke huwezi kusema hapa kama unajaribu au umefanya, si mnaijua vizuri jf maana kesho na keshokutwa mtu anakunukuu kwa ulichoandika.Its more private kwenye maisha ya mtu!
Mpeni madhara ya TG huyu mtu ajue ili akitaka kujaribu au kama anasikia ajue raha na madhara yake.
TGIF..Express yourself!
..hebu belinda kuwa muwazi tukusaidie.
ktk maisha yako ya miaka uliyoishi hakujawahi au haijawahi kutokea kweli mtu kupata dharura wakati anaingia kwako?? pls bellly sema ukweli basi
lolHeee heee msanii acha kumpiga usanii Bellies! with capital letters ! Jibu ni NO
lol
mkuu samahani kumbe nilikuwa najaribu fyekeo langu kwenye kiwanja chako?
hahaha
shekhe usiseme hivyo. usijekuta kumbe fyekeo langu linafyeka hata mibuyu kwa pigo moja tu heheheteh teh teh teh wee mafyekeo mengine hayawezi misitu yenye mbigiri!
shekhe usiseme hivyo. usijekuta kumbe fyekeo langu linafyeka hata mibuyu kwa pigo moja tu hehehe
hehehe mkuu Masa atakuelewa vibaya anaweza akakuignore usiongee kabisa na Bellies si unajua abiria chunga mzigo wako.lol
mkuu samahani kumbe nilikuwa najaribu fyekeo langu kwenye kiwanja chako?
hahaha
Mkuu usihofu, mambo ya kawaida hayaHahahaha hahahaha mimecheka ile mbaya haya kaka Jumamosi njema wacha nikimbie marathon kidogo! Hilo fyekeo Maulana aliweke mbali kabisa hii inaweza kuwa hatari kubwa duuu oooohh fyekeo hili sihitaji hata likaribia!
ahhehehe mkuu Masa atakuelewa vibaya anaweza akakuignore usiongee kabisa na Bellies si unajua abiria chunga mzigo wako.
binti naona unaniiita kijanja. ingawa milango ya dharura huwa haipitwi hovyo lakini hatima yake hupitwa inapobidi.
ila hiyo post yako mh!.... inanipa wasiwasi.
hebu tujuze wangapi umewalipiza kisasi?
Mpotoshaji wewe! unachoongea si kweli, ushindwe na ulegee kabisa! what kind of thinking is this...umeniharibia Ijumaa yangu !
Belinda ni PM basi usiseme hapa wanoko wengi...mimi nitatunza siri,..siunajua tena watu wa kazi
MM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..
MM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..
ha ha ha ha unampa mwamko tu Masa hapa
BelindaMM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..
Je ukiwezeshwa utashukuru?nadhani umenielewaq vibaya nimetoa tu wazo kama wewe unapenda kufanyia watu kwa nini na wewe usifeel pain mwenzako aliyoipata.
mimi sijawahi na wala siwezi naiishi imani yangu na hainiruhusu.
wewe si joyceline?? haya mie ni msanii tena dume-fyekeo haswa. sasa ukijaribu kutoa ofa ya dharura utanitafuta?nikiwezeshwa kivipi mbona sijaelewa?
wewe si joyceline?? haya mie ni msanii tena dume-fyekeo haswa. sasa ukijaribu kutoa ofa ya dharura utanitafuta?