VanMacJastas
Member
- Apr 20, 2016
- 77
- 56
Wadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
lekebisha rafiki hapo pekundu ili uelewekeWadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya siku kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
Thanks!!!!!!lekebisha rafiki hapo pekundu ili ueleweke
ukiona hivyo jua watu hawajui so go ahead and google itHivi ni swali limekosa jibu au aliyeuliza sio maarufu??
Mkuu ingekuwa mada ya love ama politics ..... zngeshajaa comments, majibu na tafiti kibao .... hiyo wanaipotezea .... by the way mie nko gizan kuhusu suala hiloHivi ni swali limekosa jibu au aliyeuliza sio maarufu??
Minara ya simu huwa inavifaa vya kusambaza na kupokea mionzi ya microwave ambayo ni mionzi inayotumika kwenye vifaa vya mawasiliano kama vile simu. Na kwa kawaida, mionzi ya microwave huwa ni mikali kiasi kwamba hata majumbani mwetu huwa tunaitumia kwenye microwave oven ili kupasha chakula kiwe cha moto kwa muda mfupi sana.Wadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
Hata wewe rekebisha hapo pekundu, "lekebisha = rekebisha".lekebisha rafiki hapo pekundu ili ueleweke
Aliyeuziwa cheni katoa hela bandia..., aliyepokea hela nae katoa cheni bandiaHata wewe rekebisha hapo pekundu, "lekebisha = rekebisha".
Ok, hata wewe pia "lekebisha" hilo neno nililobold ili ueleweke...lekebisha rafiki hapo pekundu ili ueleweke
Minara ya simu huwa inavifaa vya kusambaza na kupokea mionzi ya microwave ambayo ni mionzi inayotumika kwenye vifaa vya mawasiliano kama vile simu. Na kwa kawaida, mionzi ya microwave huwa ni mikali kiasi kwamba hata majumbani mwetu huwa tunaitumia kwenye microwave oven ili kupasha chakula kiwe cha moto kwa muda mfupi sana.
Kwahiyo, mionzi ya microwave inayotumika kwenye minara huwa inakuwa na nguvu kubwa kwakuwa mionzi hiyo inasambazwa kutoka mnara mmoja hadi mwingine, na namna mionzi hiyo isafirishwavyo ndivyo nguvu yake hupungua na ndio maana mtu yeyote aliyekaribu na mnara huwa anauwezo mkubwa wa kuathiriwa na hiyo mionzi kuliko yule aliye mbali na mnara.
Na madhara ya hiyo mionzi ni kwamba huunguza ubongo kiasi kwamba mwishowe mtu hupata kansa ya ubongo.
Lekebisha×lekebisha rafiki hapo pekundu ili ueleweke
Kali hiyoAliyeuziwa cheni katoa hela bandia..., aliyepokea hela nae katoa cheni bandia
Hata wewe rekebisha hapo pekundu, "lekebisha = rekebisha".
Ni kweli mkuuMiaka kadhaa ijayo kiswahili hakitakuwa kile cha akina Shaaban Gonga na akina Sheikh Kiumbwa
Nashukuru,nimepata Mwanga kwenye hili!!!!Minara ya simu huwa inavifaa vya kusambaza na kupokea mionzi ya microwave ambayo ni mionzi inayotumika kwenye vifaa vya mawasiliano kama vile simu. Na kwa kawaida, mionzi ya microwave huwa ni mikali kiasi kwamba hata majumbani mwetu huwa tunaitumia kwenye microwave oven ili kupasha chakula kiwe cha moto kwa muda mfupi sana.
Kwahiyo, mionzi ya microwave inayotumika kwenye minara huwa inakuwa na nguvu kubwa kwakuwa mionzi hiyo inasambazwa kutoka mnara mmoja hadi mwingine, na namna mionzi hiyo isafirishwavyo ndivyo nguvu yake hupungua na ndio maana mtu yeyote aliyekaribu na mnara huwa anauwezo mkubwa wa kuathiriwa na hiyo mionzi kuliko yule aliye mbali na mnara.
Na madhara ya hiyo mionzi ni kwamba huunguza ubongo kiasi kwamba mwishowe mtu hupata kansa ya ubongo.