Madhara ya Kutopima Afya za Wachezaji

Madhara ya Kutopima Afya za Wachezaji

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Leonel Saint-Preux atakuwa nje kwa wiki mbili kwa sababu ya maumivu ya kwenye unyayo wa mguu wa kushoto.
Daktari wa Azam FC, Mbarouk Mlinga amesema kwamba mchezaji huyo wa kimataifa wa Haiti atahitaji uangalizi wa karibu katika kipindi chote cha mapumziko yake ili apone vizuri.
“Ni tatizo dogo, ambalo linahitaji uangalizi wa karibu na mapumziko wakati matibabu yakiendelea,”amesema Dk Mbarouk.[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Leonel Saint- Preux atakuwa nje wiki mbili[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Leonel hakuichezea Azam FC katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam mabingwa hao watetezi wakianza na ushindi wa 3-1 dhidi ya Polisi Morogoro.
Lakini alikuwepo kikosini wakati Azam FC inalala 3-0 mbele ya Yanga SC Septemba 14 katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Leonel atakosa mechi zisizopungua tatu zijazo wakati akiuguza maumivu yake kuanzia mchezo wa Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting Chamazi, Azam na Prisons mjini Mbeya Oktoba 4 na Azam na Mbeya City Oktoba 11, kama hautaahirishwa.
Michezo ya Oktoba 11 na 12 inaweza kuahirishwa yote kupisha mechi ya kimataifa kati ya Tanzania na Benin Oktoba 12, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na mabadiliko yanatarajiwa kutangazwa kesho.
 
kwizera.jpg
 

ivo mapunda nae mimba ..kuikosa YANGA

IKIFIKA OCT WALAHI OKWI NAE ATAKUWA ANACHEZA NA SINDANO....KWA KIHONGERA NILIWEKA MADA MOJA SIKU MOJA SIMBA KABEBA GALASHA

YULE JAMAA ANATUMIA SINDANO SIKU NYINGI TU NA JAMAA WALIOKWENDA KUMCHUKUA WAMEKULA NAE DILI KUNA MMTU PALE JUU SIMBA ANAPATA SI CHINI YA MILLION MOJA KUTOKA MSHAHARA WA KIHONGERA JUST KUMSAJILI

HII NI FUNDISHO NA KAMA AMAUAMINI KIHONGERA AKIINGIA UWANJANI ...WACHEZAJI WA TIMU PINZANI GONGENI KWA CHINI GOTI LA KUSHOTO ...

MNAMKUMBUKA WAZIRI MAHADHI ...ALIKIMBIA MPIRA SI KWAMBA ALIKUWA NA KIWANGO CHA CHINI WALA NI KUTOKANA NA TIMU PINZANI KUJUA WEAKNESS YAKE WAKAWA WANAGONGA GOTI LA KUSHOOTO
 
Okwi nasikia pia ni tatizo na ndio maana kote amefeli sababu ya yule demu wa Mwananyamala
 
Hivi Karibuni tutasikia ya Jaja
 
[h=1]Majeruhi waibomoa Yanga[/h]
"Coutinho anasumbuliwa na enka na uhakika kama atachezamechi na Azam au vipi nadhani hadi kesho (leo) jioni nitajua mambo yanaendaje kwani natakiwa kumtazama kwa karibu mno.


 
[h=1]BAD NEWS; COUTINHO AUMIA YANGA IKICHEZA NA POLISI LOYOLA LEO,[/h]Hiyo inafuatia kiungo huyo kuumia katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo dhidi ya Polisi ya Dar es Salaam Uwanja wa sekondari Loyola, Mabibio, Dar es Salaam.
Coutinho alikuwa anajaribu kugeuka apige mpira, akateguka kifundo cha mguu na kushindwa kuendelea na mchezo uliomalizika kwa sare ya 0-0
 
nasikia TFF watatia waraka kila mchezaji apimwe
 
Back
Top Bottom