MADHARA YA KULA MPAKA MIZIZI YAKE

Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini?
Uko livee mkuu nashangaaa hujamuelewaa?? Hayaa ngojaaa tuketi tusibirie kujua maana yake ni ipi? Au ni madhara yatokanayo na mjani uleee ambao ukiwa shamban kwako ni yako lkn dhahabu zikiwepo znakua za serikali??
 
Shamba kama la bangi pembeni mwa barabara.
Barabarani inapita gari iliyojaza mchanga uliojaa kama makinikia.
Hakuna turubai kusitiri huo mchanga, bali kamba imetaiti vumbi la mchanga, ambapo upepo ama mtikisiko, utasomba mchanga huo.
Habari picha waweza kuisoma namna hiyo.
Sasa hiki kichwa cha habari "MADHARA YA KULA MPAKA MIZIZI YAKE" ina represent nini! None sense.
 
Ina represent NONE SENSE
 
Uko livee mkuu nashangaaa hujamuelewaa?? Hayaa ngojaaa tuketi tusibirie kujua maana yake ni ipi? Au ni madhara yatokanayo na mjani uleee ambao ukiwa shamban kwako ni yako lkn dhahabu zikiwepo znakua za serikali??
Hahaha nilimpata mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…