Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,759
AmevurugwaSasa mtoto amekosa nini hiyo jamaa ni katili
Amevurugwa haswa mkuuAmevurugwa
Mkuu wewe ungefanyaje?Kitendo cha usaliti ndio uungwana?
ha ha ha, baada ya mtoto kufanikiwa,unaitwa baba mleziSiku hizi hata ikibainika wewe na mtoto mna vinasaba tofauti bado utaambiwa matokeo yanaonyesha mtoto ni wako kwa 99.9999999%
Jambo la msingi maadamu umelea mimba na baada ya kuzaliwa mtoto umeendelea kumtafuna mama yake basi piga kimya songa mbele.