utoto gani? Juzi kaja mmoja anomba ushauri eti alikuwa barric, kaamua kuwatosa anahamia kwingine lakini anakohamia napo hawaoneshi kumwita. mie nilimwambia siku zao zinahesabika, kwani wafanyakazi watanzania migodini, ndio wanaofanikisha uporaji wa madini yetu. Biohazad anataka kujua kama mleta mada akipewa kazi atakataa. nami nakugeukia wewe, ukipewa kazi utakataa? wacha utoto, jibu maswali
fikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.[/QU mijitu mingine inajibu km imelogwa.bora umemkomesha apeleke masaburi yake huko barick kama anataka kazi ni yeye
Hata wale wanaofanya kazi barrick wanafanya huku wamenuna.ila hawana option na kila inaopatkana huwa wanaachia ngazi mapema wakikimbia mapunjo na unyanyasaji.
basi wajinga, kwani LUDISM NA CHARTISM ilikuwaje? tunahitaji watanzania wazalendo, waingie migodini, wajitolee mhanga kuuwa wakoloni wote na vibaraka wao weusi kama maafisa wa ulinzi migodini, baada ya hapo, wazalishe japo kwa siku moja tu madini kwa ajili ya sehemu madini yanakopatikana. wakifanya hivyo watakuwa wametusaidi, sio kuendekeza njaa tu, huku watu wanaumia