NIMEKIMBIA CCM
Senior Member
- Oct 4, 2011
- 193
- 26
ni ile yenye majani mekundu(asante muheshimiwa kwa kunirahishia kujielezea)mkuu ni rozela ama alozera? je ni ile yenye majani mekundu?
lozera kaka asante sanakuna lozera na alovera je unamaanisha ipi?
Kuna LOZERA na ALOVERA je unamaanisha ipi?
Hajielewi, hebu naomba uache kumuuliza maswali ya degree mwanafunzi wa darasa la tatu A
asante msomi wewe mwenye degree lakini mbona inaonekana unaukosea haki usomi wako umekosa busara(karibu darasa la tatu a tukupe elimu ya busara na kujua kuheshimu hata walio chini ya kiwango cha elimu yako0'hajielewi, hebu naomba uache kumuuliza maswali ya degree mwanafunzi wa darasa la tatu a