Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,217
- 2,354
Ni muda mrefu sasa kurugenzi ya habari na uenezi kupitia kwa Tumaini Makene imekuwa ikishauri wa namna ya kutumia kila fursa inayopatikana kukitangaza chama itumiwe ipasavyo, Cha kushangaza ama kwa dharau, au uzembe au ukosefu wa uelewa wa kutosha bwana Makene na maofisa wenzake (Isipokuwa Mnyika kwa kuwa jambo hili ni ndogo na lilitakiwa liwezwe na hawa akina makene na wenzake) wameshindwa kabisa kuwa wanaweka Full video za hotuba za kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Imekuwa ni kawaida kwa Bwana makene kuweka hotuba hizi katika Full text i.e maandishi pekee na hakuna sababu za msingi zinazomfanya yeye na timu yake kushindwa ku-upload na video za hotuba hizi ktk mitandao hii km vile youtube, jf etc.
Kuna faida nyingi sana za kuwa na video hizi zikiwa full video kushinda maandishi (ieleweke sijasema maandishi
Unachokishuri ni sawa lakini kina faida na madhara yake. Kama kuna uongo na chumvi nyingi video hizo ni kitanzi baadaye. Kama zinaukweli zitakijengea heshima Chama