lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Aliyekwambia wanajeshi wa leseni ya udereva nani? Wewe ndo unataka kuleta balaa kubwa. Hao matraffic watapata wapi hela ikiwa madereva wote wa mabasi wskiendesha wanajeshi? Traffic wote watakonda......
mkuu nakubaliana nawe kweli matrafic wanaweza kuandamana au nao wataweka mgomo kama madereva