Aliyekwambia wanajeshi wa leseni ya udereva nani? Wewe ndo unataka kuleta balaa kubwa. Hao matraffic watapata wapi hela ikiwa madereva wote wa mabasi wskiendesha wanajeshi? Traffic wote watakonda......
Ushauri wa mwisho kwa amir jesh
mkuu,
amrisha madereva wa JWTZ kuendesha mabasi yoote ya abiria. na hasa ya mikoani bila kujali basi ni LA abood au mchina
hao wenye leseni zao tuachane nao.
hii ni hali ya Hatari .
Tunakoelekea Siyo Kuzuri Taifa Halisongi Mbele Kwa Sasabu Ya Migomo, Ajali, Mafuriko, Wakulima Na Wafugaji, Ugaidi N.K Tufanyeje Kama Taifa?
JWTZ wnyewe wana damu za ukawa
Bora waendeshe waoo
Ushauri wa mwisho kwa amir jesh
mkuu,
amrisha madereva wa JWTZ kuendesha mabasi yoote ya abiria. na hasa ya mikoani bila kujali basi ni LA abood au mchina
hao wenye leseni zao tuachane nao.
hii ni hali ya Hatari .
JWTZ wnyewe wana damu za ukawa
​npata shida sana na IQ ya mleta mada