Madereva wetu

Madereva wetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,846
Reaction score
831,097
1429243117600.jpg 1429243117600.jpg
 
Mpwa pamoja na kua na miundo mbinu inayosababisha ajal kikubwa ni abiria kukemea mwendo kasi bila hivyo tutakwisha
 
Mpwa pamoja na kua na miundo mbinu inayosababisha ajal kikubwa ni abiria kukemea mwendo kasi bila hivyo tutakwisha

Nidhamu barabarani na kufuata sheria pia ni muhimu sana, dada kama huyu keshakuwa mlemavu kwasababu ya dereva mzembe 1429243751987.jpg
 
Suala la ajar za barabarani kila mtu anahusika kwa namna yake kwanzia serikali, mamlaka huska hadi abiria., tatizo ni ubinafsi na tukiendela kuuendekeza utatumaliza
 
Ni kweli sheria hazifuatwi na ndio nasema mpwa sisi abiria tupige kelele nimeisha shuhudia abiria mmoja analalamika wengine wanamuunga mkono dereva hilo ni tatizo bila hivyo tutakufa na kuachwa vilema sana
 
Leo wamechinjwa zaidi ya 19 kwenye ajali ya hiace mbeya chanzo kikiwa ni dereva!
 
Hawa jamaa kwa kweli ukisafiri sali sana. Sisi tulimwambia driver punguza mwendo unakimbilia wapi? Akatujibu "nimeshindwa kupunguza mwendo" niliposikia hivyo niliomba kwa imani yangu nikamkabidhi Mola wangu kila kitu baada ya hapo nilisikia mlio wa ajali nikamshukuru Mungu sikujua tena kilichoendelea kumbe nilizimia. Jamani ajali muisikie tulioanguka na magari zaidi ya mara mbili ukisikia unaelewa ni nini kimewafika wahusika.
 
Back
Top Bottom