Dah!
Kweli Watz bado tuna safari ndefu sana katika kampeni ya TULIZANA.
Maana hapo nina uhakika mleta mada nyumbani ameacha aidha mke,mpenzi au mchumba na bado huko tena anatafuta mwingine.
Ila huo ni uhuru wako binafsi, ngoja wenzio waje kukusaidia.