Kikundi cha WAADU kinahitaji madereva waaminifu , na wanaoweza kutunza pikipiki vizuri, kwa wiki kila mmoja atatakiwa kutoa elfu arobaini(40) na kila jumapili mkurugenzi atasimamia umwagaji wa oil.
Sifa za mwombaji
1, Awe ana leseni na cheti cha udereva kutoka chuo kinachotambulika na serikali.
2. Awe ameoa au kuolewa. Nia hapa ni kumpata kiurahisi na kuepuka kutumia chombo Massa 24 .
3. Awe hajawahi kufungwa au kutuhumiwa na makosa ya utapeli.
4. Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiyozidi miaka 50.
5. Awe na mvuto kwa Wateja.
Mwenye sifa atume maombi kwa Mwenyekiti wa kikundi cha WAADU SLP 369 Tabora.
Barua iambatanishwe na nakala za cheti cha VETA, LISENI, PASSPORT SIZE MBILI NA BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA MTAA.
Mwisho wa kutuma maombi ni jumapili tarehe tisa mwezi wa tatu 2014.