Madereva wa malori wanatumika kusababisha Ajali

Lakini pia sisi abiria ni chachu ya madereva wa mabasi kukimbia sana,kwanza kama dereva gari lake linaenda polepole stand,kwa mfano pale ubungo huwa abiria hatukati hata tikiti tukisema kabisa halikimbii!!,yamkini pia abiria tumekuwa tukichangia kwa namna moja ama nyingine!aidha kwa kuhimiza dereva aende mwendo wa kasi na kulaum anaenda mwendo wa kinyonga,na tukimwambia tutakiwa kufika haraka tunakoenda!!
 
Lakini pia sisi abiria ni chachu ya madereva wa mabasi kukimbia sana,kwanza kama dereva gari lake linaenda polepole stand,kwa mfano pale ubungo huwa abiria hatukati hata tikiti tukisema kabisa halikimbii!!,yamkini pia abiria tumekuwa tukichangia kwa namna moja ama nyingine!aidha kwa kuhimiza dereva aende mwendo wa kinyonga,na tukimwambia tutakiwa kufika haraka tunakoenda!!

Mkuu kwenye mafunzo rasmi ya udereva hakuna kipengele kinachosema aendeshe kwa kuwasikiliza abiria, kila kazi ina miiko yake madereva wazingatie miiko yao
 
Kuna wakati lazima tuaminishwe vitu kulingana na mtiririko wa matukio,yanaweza kuwa ni mawili ama matatu lakini kwanini hivyo?
Hivi majuzi Basi la majinja liligogana na lori na kuua watu zaidi ya 50,na labda kwa wale ambao hamkujua au kuichkulia ile ajari kama ni tukio poa,ilikuwa ni miongoni mwa ajari mbaya sana kwa mwaka huu 2015,

Zimesikika ajari zingine mikoa tofauti tofauti nazo vivyo hivyo wanagongana basi na lori,

Mim najiuliza kwanini isitokee lori na lori au basi na basi?

Leo asubuhi,imetokea ajari nyingine Dodoma maeneo ya CBE kama ada lori na basi jamani kunanini?!!

Tusije kuwa tumebweteka kumbe kuna kitu kibaya sana kinaishi ndani ya hawa madereva.

HIZI AJARI SIO NZURI,UNAWEZA KUWA HUUMII KWA SABABU HUJAFIWA NA NDUGU wa karbu lakini wanaopoteza maisha ni watanzania wenzetu,embu tujiulize hawa madereva wanatumika bila kujijua au wanajua?,na ninani anaewatumia?!

Kwanini iwe ni madereva wa malori ndio wanaosababisha? Kwanini sio wa mabasi?
 
wanajamvi tafiti zimefanyika na matokeo yametolewa ya tafiti hizo nazo nikuwa 70% ya ajali ni makosa ya kibinadamu,kama tatizo ni hilo ufumbuzi ni nini? Serikali imeshauriwa lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika.
Ajali Tanzania yetu chanzo kikuu ni mwendo kasi
 
Kuna wakati lazima tuaminishwe vitu kulingana na mtiririko wa matukio,yanaweza kuwa ni mawili ama matatu lakini kwanini hivyo?
Hivi majuzi Basi la majinja liligogana na lori na kuua watu zaidi ya 50,na labda kwa wale ambao hamkujua au kuichkulia ile ajari kama ni tukio poa,ilikuwa ni miongoni mwa ajari mbaya sana kwa mwaka huu 2015,

Zimesikika ajari zingine mikoa tofauti tofauti nazo vivyo hivyo wanagongana basi na lori,

Mim najiuliza kwanini isitokee lori na lori au basi na basi?

Leo asubuhi,imetokea ajari nyingine Dodoma maeneo ya CBE kama ada lori na basi jamani kunanini?!!

Tusije kuwa tumebweteka kumbe kuna kitu kibaya sana kinaishi ndani ya hawa madereva.

HIZI AJARI SIO NZURI,UNAWEZA KUWA HUUMII KWA SABABU HUJAFIWA NA NDUGU wa karbu lakini wanaopoteza maisha ni watanzania wenzetu,embu tujiulize hawa madereva wanatumika bila kujijua au wanajua?,na ninani anaewatumia?!

Ndio mazingira kama haya!!
 
Attachments

  • 1426410207234.jpg
    1426410207234.jpg
    35.7 KB · Views: 130
soma tena mawazo yako!

Dawa ya ajali ni sheria kali lasivyo tutaendelea kushuhudia nyingi sana. Ifike mahali mtu ukisikia ajali ushtuke na ujiulize how did it happen. Hivi sasa ajali zimekuwa nyingi kiasi kwamba ikitokea moja unajiuliza itakayofuata itakuwaje. This is unacceptable. If I were the responsible authority I would do the following;

1. Dereva yoyote atakayesababisha ajali hataruhusiwa kuendesha gari mwaka mzima.

2. Dereva yeyote atayesababisha ajali na kuua mtu/watu hataruhusiwa kuendesha gari milele.

3. Tajiri/kampuni ya mabasi/lori & others ambae gari lake litasababisha ajali na kuua mtu/watu kwanza atawajibika kulipa fidia iliyopangwa kwa mujibu wa sharia.

4. Kampuni ambayo itasababisha ajali na kuua abiria itafungiwa kutoa huduma kwa kipindi fulani kulingana na ukubwa wa ajali.

5. Sheria hizi zitafanya kazi pamoja na zilizopo
 
Ajali za maroli pekee ni nyingi kuliko zile zinazohusisha mabasi, sema hazitangazwi. Ukitoka Mbeya kuja Dar kwa mfano, utakuta malori yasiyopungua kumi humo njiani yameanguka. Hapa kuna issue mbili, kwanza ni haya mamitumba ambayo matajiri wa bongo wanayonunua yanakuwa hayapo kwenye mifumo ya break. Pili, na hii ndio sababu kubwa, SPEED. Uendeshaji wa lori unategemea zaidi uzoefu kwenye magari makubwa. Siku hizi unakuta kibwana mdogo kimetoka kwenye vi-hiace eti kinasafiri na lori trip moja tu kama utingo, ya pili kinaendesha chenyewe. Ajali lazima hapo.
 
Ajali za maroli pekee ni nyingi kuliko zile zinazohusisha mabasi

Kumbuka na malori ni mengi kuliko mabasi malori yanaweza kuwa kwa siku moja yanapita 500 mabasi ata 60 hayafiki kwa njia ya dar mbeya

Kwa huo wingi wa malori na ajali zitakuwa nyingi upande huu
 
Kuna wakati lazima tuaminishwe vitu kulingana na mtiririko wa matukio,yanaweza kuwa ni mawili ama matatu lakini kwanini hivyo?
Hivi majuzi Basi la majinja liligogana na lori na kuua watu zaidi ya 50,na labda kwa wale ambao hamkujua au kuichkulia ile ajari kama ni tukio poa,ilikuwa ni miongoni mwa ajari mbaya sana kwa mwaka huu 2015,

Zimesikika ajari zingine mikoa tofauti tofauti nazo vivyo hivyo wanagongana basi na lori,

Mim najiuliza kwanini isitokee lori na lori au basi na basi?

Leo asubuhi,imetokea ajari nyingine Dodoma maeneo ya CBE kama ada lori na basi jamani kunanini?!!

Tusije kuwa tumebweteka kumbe kuna kitu kibaya sana kinaishi ndani ya hawa madereva.

HIZI AJARI SIO NZURI,UNAWEZA KUWA HUUMII KWA SABABU HUJAFIWA NA NDUGU wa karbu lakini wanaopoteza maisha ni watanzania wenzetu,embu tujiulize hawa madereva wanatumika bila kujijua au wanajua?,na ninani anaewatumia?!

mkuu upo sahihi, kabisa juko sinhida tena Lori na noah
 
Ajali za maroli pekee ni nyingi kuliko zile zinazohusisha mabasi

Kumbuka na malori ni mengi kuliko mabasi malori yanaweza kuwa kwa siku moja yanapita 500 mabasi ata 60 hayafiki kwa njia ya dar mbeya

Kwa huo wingi wa malori na ajali zitakuwa nyingi upande huu

Nadhani wewe umenielewa,point yangu nimezifutlia sana hizi ajari za hivi karbuni,pamoja na kuwa madereva wa mabasi wameenda wakifanya fujo barabarani lakn kwa sasa kuna kitu kinaendelea wanatumika KUSABABISHA AJALI!!!,wanatumika nanani na kwanini hilo ndio niliotaka tijadili lakin imegeuka mada ta kujadili nani anasababisha ajali kati ya basi na kwimgine
 
Madereva WA maroli kwa kweli huwa wako makini sana, tatizo kubwa madereva WA basi huwa hawana subira kabisa, Mara nyingi utakuta roli limetangulia linamuonyesha Dereva WA basis asi- over take, ila yeye WA basis analazimisha kupita matokeo take no misiba.pia chanzo kikuu ni spidi kubwa za mabasi
 
Back
Top Bottom