Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Kuna wakati lazima tuaminishwe vitu kulingana na mtiririko wa matukio,yanaweza kuwa ni mawili ama matatu lakini kwanini hivyo?
Hivi majuzi Basi la majinja liligogana na lori na kuua watu zaidi ya 50,na labda kwa wale ambao hamkujua au kuichkulia ile ajari kama ni tukio poa,ilikuwa ni miongoni mwa ajari mbaya sana kwa mwaka huu 2015,
Zimesikika ajari zingine mikoa tofauti tofauti nazo vivyo hivyo wanagongana basi na lori,
Mim najiuliza kwanini isitokee lori na lori au basi na basi?
Leo asubuhi,imetokea ajari nyingine Dodoma maeneo ya CBE kama ada lori na basi jamani kunanini?!!
Tusije kuwa tumebweteka kumbe kuna kitu kibaya sana kinaishi ndani ya hawa madereva.
HIZI AJARI SIO NZURI,UNAWEZA KUWA HUUMII KWA SABABU HUJAFIWA NA NDUGU wa karbu lakini wanaopoteza maisha ni watanzania wenzetu,embu tujiulize hawa madereva wanatumika bila kujijua au wanajua?,na ninani anaewatumia?!