Madereva wa malori 52 wagundulika na Corona Uganda | 52 toka South Sudan, 2 toka Kenya na hakuna Mtanzania. Hii inatoa picha gani?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE; Kwa wenye akili watakubaliana na kauli za viongozi wa Tanzania kwamba idadi ya maambukizi imeshika sana nchini.

Mwanzo Uganda ilikua ikiripoti idadi kubwa sana ya madereva toka Tanzania wenye Corona, sasa hivi visa kutoka Tanzania vimeshuka sana katika mipaka ya Uganda, Rwanda na Zambia.

Hii idadi ingetolewa na Tanzania, kuna watu kutokana na wivu wangepinga, ila sasa hawana la kusema itabidi wakubaliane na matokeo.

======

Uganda Reports The Highest Number of Covid-19 Cases

38acbcf84a26f4423277d98f46b183fa

Covid-19 has been a the talk of the in every country in the world. Every country is struggling to combat the spreading of this deadly pandemic which has already claimed the lives of hundreds of thousands worldwide.

This day has become the worst ever for the Ugandans after the report from the ministry of health which reported the highest number of COVID-19 cases. According to the ministry of health, Uganda recorded 84 new Covid-19 cases in a single day.

d45835de8ff643645dd94d713ff49643

"Today, 30 May, 2020, 84 new COVID-19 cases confirmed. The total confirmed cases are now 413. 52 cases are truck drivers: 50 arrived from South Sudan via Elegu, while 2 arrived from Kenya via Busia. 32 cases are contacts to previously confirmed cases.All were under quarantine. Ministry of health of Uganda reported.

6134031344afa36517df3b618bcdbcda
This new shocking cases have caused tension in the country. The people are now scared despite them being under a lockdwown which has lasted for more than 2 months now.
President Yoweri Kaguta Museveni had promised to take care of the country's borders to protect the people from imported Covid-19 cases. This has not successfully achieved due high number of these truck drivers at the borders points.

In addition to the cases in Uganda, the ministry of health also reported other 51 cases of truck drivers from the neighboring countries. These drivers were taken back to their country of origin to help in contact tracing process as they will be receiving medication.

cf874dd67507dab06dc2fe6f4c27ec8a

This scaring new cases will be forcing president Yoweri Kaguta Museveni to extend the lockdwown further. If these cases keep increasing at such rate, the president will be left with no choice but to lockdwown.
 
Wenye akili ndogo ndio wenye kuangalia makosa madogo badala ya kuchambua mada husika.
Acha kutetea ukilaza. Kosa la kingwini linasameheka ila la Kihesabu huwa halisameheki.

Aidha Kila siku nawaonya kuhusu kukurupuka. Kabla ya kupublish, lasima upitie kuondoa makosa hata mara tatu kabla ya kuponyeza kitufe kinachosema post. Makosa ya kukurupuka anayo pia Sky Eclat . Umeona jinsi Chadema imejizika kwa watu wa kukurupuka kama Msigwa mpaka anaomba msamaha. Ukiwa upinzani ni vyema ukahakikisha neno lolote linalotoka mdomoni mwako au kuandika ni sahihi.

Jumapili njema
 
Acha kutetea ukilaza. Kosa la kingwini linasameheka ila la Kihesabu huwa halisameheki.

Aidha Kila siku nawaonya kuhusu kukurupuka. Kabla ya kupublish, lasima upitie kuondoa makosa hata mara tatu kabla ya kuponyeza kitufe kinachosema post. Makosa ya kukurupuka anayo pia Sky Eclat . Umeona jinsi Chadema imejizika kwa watu wa kukurupuka kama Msigwa mpaka anaomba msamaha. Ukiwa upinzani ni vyema ukahakikisha neno lolote linalotoka mdomoni mwako au kuandika ni sahihi
Jumapili njema
Wewe ni mpumbavu sana, eti kupost kitu hapa JF hadi urudie kuhakikisha hakuna makosa, hivi kama utatuma neno lenye makosa, athari yake ni ipi zaidi ya watu kugundua kwamba kuna kosa?. Eti unasema makosa ya kimahesabu hayakubali, hayakubaliki na nani?, kwani tuko benki au katika vitengo muhimu ambapo kunaweza kutokea upotevu wa Mali au pesa?

Sikiliza kwa makini, hapa JF ni kijiweni, wapo watu wenye tabia tofauti, kuna watu kama wewe ambao wakiandika kitu lazima warudie Mara kadhaa kabla ya kupost, na kuna watu ambao kwao hilo sio muhimu, sasa usijaribu kulazimisha watu wawe na tabia moja, muhimu ni kuwasiliana na kuelewana.
 
Hii sio Mara yako ya Kwanza kulemewa na hesabu ndogo ndogo na tuko na ushahidi humu JF...Bure kabisa unalemewa na hesabu kidogo Kama binti ama unaliwa T*g* Mkuu 😁...Kuna mtu anakugaramia bundles 😂😂😂 aka sponsor 😁
 
Imekuuma hadi unanza kutukana hehehe! BTW ninyi ndo chief supplier Uganda kwa sasa!
 
Back
Top Bottom