Madereva wa kike kwanini mko hivi?

Madereva wa kike kwanini mko hivi?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?

Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?
 
ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,hila kwa nini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao? yaani wanabana sana uwezi kuwachomekea na gari yako. kwa nini wako hivi?

hila = ila
 
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?

Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?

wewe unapenda KUCHOMEKEWA NA WA NYUMA YAKO???!!!!!
 
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?

Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?

Kule nanii mtuchomekee na barabarani tena jamani............haki za wanawake zipo wapi nchi hii.........
 
Na pia kwanini Madereva wa kike Mnapenda kutumia Simu wakati Mnaendesha Magari...
Tafadhari Mjirekebishe ni Hatari sana.
 
madreva wa kike hawana sifa kama baadhi ya madreva wa kiume tunapenda kujionesha xana hvyo umakini kila dreva anao ila sifa
 
Labda madereva wa kibongo, nchi fulani hapa balaa wao ndio wanaongoza kwa ajali, wao ndio wanaongoza kuendesha magari kwa speed, wao ndio wanaongoza kuendesha magari kwa rafu, wao ndio wanaongoza kumulikwa na camera za speed, halafu hawa asilimia kubwa wako chini ya 35 age
 
Back
Top Bottom