Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 199
- 96
dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usikuJiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!
Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
😄😄😄😄dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!
Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!
Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
Haaa haaa dah Mkuu umenichekesha sana, hawa jamaa ni noma sndah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
Mkuu unazipenda tena zile speed!? Dohhh mimi sasa hv nikikosa kuoanda basi nitaahirisha nisafiri siku inayofuatiakawaida hizo yaani yeye yuko comfortable kabisa speed kama jet fighter iko hewan, kitu kinakimbia hatari matuta anafukia mnarukia mbali huko. aiseee unaweza kutapika mihogo yako, ila mm napenda zile speed za kibabe.
Mkuu unazipenda tena zile speed!? Dohhh mimi sasa hv nikikosa kuoanda basi nitaahirisha nisafiri siku inayofuatia
Dah hatar sana Hadi umetafuta msikiti kwa ajili ya duadah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
haha usije ukatusumbua tu na rambirambinoma sana
sijawahi pata experience ya hizi IT
siku moja ntasafiri nazo nishuudie ase but me ni mdau mzuri wa speed 180
ha
haha usije ukatusumbua tu na rambirambi
Nenda mbezi mwisho kimara kule baada ya kituo cha mabus kwa mbele kuna kituo cha dala dala utakuta vijana pale wanasimamishaga magari ili abiria wapande kwenda mikoani kwenye hizi IT pale kituoni yupo kijana mmoja mfupi hivi jina Jabiri ukifika pale utamuona yeye ndio kama mwenye kijiwe ongea naye yule mpiga debe pale uyo kijana asilimia 90 ya madereva wa IT anawajua so connection inaweza anzia pale
Nenda na elfu ishirini tu mwambie miye kijana mwenzio naitaji connection na hawa watu tunafanyaje, atakupa A, B, C hana roho mbaya uyo kijana maderealva wa IT njia ya tunduma na Rwanda anawajua karibu wote anamjua sema kijana karidhika na kupiga debe pale