Madereva wa bodaboda

Madereva wa bodaboda

tomboya

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
54
Reaction score
8
Serikali fuatiliyeni haya,kuna baadhi za pikipiki zinatoa mlio kama wabunduki anapo achia mafuta,hii ni hatari huwezi kujua ni bunduki au pikipiki,na imekua ni fasheni sasa
 

Attachments

  • Jhohn kagera 20150130_184306.jpg
    Jhohn kagera 20150130_184306.jpg
    56.1 KB · Views: 100
Back
Top Bottom