Petrol Tank
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 205
- 372
Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Amewasahau na waendesha MikokoteniVipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Na hapa nimesahau madereva wa magari haya yanayotengeneza barabara ya kubeba vifusi na mengineyo na ya migodini, barabara ikipita vijijini huko wana jisevia karbu kijiji choteeMadereva wa aina tofauti tofauti wamekuwa kwenye kundi la kuwa na tabia za kupendangono uzembe tuanze hivi;
1. Bodaboda, hawa bila shaka wanaongoza kwa tuhuma za kuwapa wanafunzi mimba na wake za watu pia bila kusahau mabinti wa mitaani
2. Malori makubwa, waendesha malori huwa inasadikika kuwa hawabagui na katika safari zao huwa kila kituo ana mwanamke, mimi binafsi baba zangu wadogo wawili wamekufa baada ya kuingia grid ya taifa (UKIMWI)
3. Bajaji, hawa nao ni janga mjini wamekuwa wamekuwa wakihisiwa kujihusisha na vitendo vya ngono kwa wanafunz, wake za watu na mitaani huko
4. Tax, uber na wenzao hawa ni wakongwe na taarifa zao bila shaka tunazo
5. Mabas na daladala angalau kdgo hao japo nao wamo
6. Magar ya serikali na mashirika nao hawapo nyuma
7. Magar binafsi nao wanatutesa kweli tusio kua na magar bila shaka mnajua
Makund haya yapo kwenye hatar kubwa na wengine tayar wapo kwenye grid ya taifa hatua za makusud zinahitajika.
Nawasilisha
Ni nini sasa??Hawa sina taarifa zao kwan lile ni gari
Na waendesha GutaAmewasahau na waendesha Mikokoteni
Ni nini sasa??
Hahaha hawa wanachoka si unajua guta linaumiza kiuno ko wake zoa wanawatosha na hata wakat mwingine wanafeli sanaNa waendesha Guta
Hahaaaa we hauko serious imagine unapita na kifaru mtaani huku ukielekea eneo la starehe, unafika na kupaki, unaagiza bia zako kadhaa....Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
πππππππππVipi na madereva wa airbus 220!
Dereva wa paso na wewe umesahaulika.Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
πππdaahhh,.nakunywa na kula mpaka wahudumu wa bar wote sibakishi kitu,wakizingua tuu naenda kukalia dyuudeeHahaaaa we hauko serious imagine unapita na kifaru mtaani huku ukielekea eneo la starehe, unafika na kupaki, unaagiza bia zako kadhaa....
Mimi nishawahi kukukula J..???Dereva wa paso na wewe umesahaulika.
Mleta mada muongeze na huyu kwenye list
Ila condom basii tuu,..bora upige zako punyeto ujue moja,πnatania tuu "thiko siriaz"π€Umesema kweli hasa Hawa wa Mlori, nipo Boda wanakauli mbiu yao : ukitumia Kondomu unajito...... Mwenyewe peku peku na Tochi ya Igawa
HahahaaMi kale ka mpira kanavonibana huwa nakuwa kama dude halipumui vzur, af mara nihis kama imepasukaaIla condom basii tuu,..bora upige zako punyeto ujue moja,[emoji41]natania tuu "thiko siriaz"[emoji851]