Madereva boda boda na dada zetu

huduma za bure na exchange ya sex matokeo yake ni kujutia tu

Hapo nimekupata lakini labda ingekuwa hivi:

it has nothing to do with paranoia but to do with FREE RISKY SERVICES
 

ukweli mkuu na ukichungu idadi kubwa ya abiria wa hao boda boda ni ke.
 
Nadhani huko nyuma dreva teksi wengi walikuwa wanawapata ke kiurahisi kwa njia hii hii, kwa sasa imagine bodaboda rate hata ya kulipa ni ndogo ukicompare na teksi. Wengine hutumika kupeleka ke kwenye michepuko yake na malipo ili asilikishe ishu c pesa bali nae anapewa uchi.
 
Ukijirahisi watakutia tuu sio bodaboda hata makonda nao watakubeba si umekua cheap

Mm natumia sana huu usafir kwenda na kurud job ila siwez mpa pupuchi dereva wa bodaboda hat a aweje
 
Sometimes wanaume tuna paranoia tu...mara madereva tax..mara waosha miguu
Viguest vya uchochoroni bodaboda ndio wateja wao wakubwa, lakini sioni ubaya hakuna mwanamke anayebakwa na hata wao ni binadamu pia.

kuna rafiki yangu Mangi alifirisika familia yao wakamchangia pesa akanunuwa bodaboda na anadrive mwenyewe amenieleza anaingiza wastani wa 40,000/= mpaka 60 kwa siku na maisha ya mtbni mnayajuwa na bahati nzuri alishajenga nyumba sasa hivi anajenga ya pili na hataki kabisa kusikia habari ya biashara ya duka.
 
mkuu wanawake wengine wanahangaika sana,yani anagawa kwa boda ili apate usafiri wa kuchepuka hili ni janga

ni kweli mkuuna vijana wameharibu watoto wkike sana si wanafunzi wala wamama wote twende tu.
 
Ukijirahisi watakutia tuu sio bodaboda hata makonda nao watakubeba si umekua cheap

Mm natumia sana huu usafir kwenda na kurud job ila siwez mpa pupuchi dereva wa bodaboda hat a aweje

hongera sana kwahlo,,ila walio weng wanajiachia tu,,
 

hii ni kweli kabisa,, waendesha bidboda weng ndo wanawapeleka wanawake kwenye michepuko yao,, nao hawatak ujira wa pesa,,wanaitaji papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…