Madereva bajaji acheni umbea


Nunua gari wewe
 
Last edited by a moderator:
J.F pana kama shati la Lemutuz.... hadi madereva bajaji wamo..
 
Mkuu,ukiwa na bibie wako kwenye bajaj uwe unasoma riwaya tu.Yaani subiri mfike nyumbani,mtamkomesha dereva.
 
Na madereva bajaji wanjua siri sana , unakuta wanampeleka demu mmoja kwa wanaume zaidi ya wawili na wanamfichia siri tu.. wewe kuwa makini sana na dereva bajaji wa demu wako ,,, anajua siri zake nyingi sana
 
Wanahofu na maisha yao, labda utakuwa sio mtu mzuri kwao hiyo ni njia ya kujilinda
 
Ivi hata kwenye bajaj wanazin!!!! mbna ni hatar xna watasababisha ajali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…