Hawa jamaa ni wambea kupita kiasi, yaani ni zaidi ya wanawake.Hawa jamaa wakiona mshikaji kapanda Bajaji na msichana wake utakuta wanafanya wanaweka vizuri side mirrors (vile vioo vya pembeni mwa bajaji).
Ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wanazitegesha zile side mirrors ili waweze kuona wanachokifanya waliopanda nyuma kwenye Bajaji. Mara nyingi mwanaume na mwanamke wakipanda kwenye bajaji huwa wapigana kiss au kushikana na madereva bajaji wamejua hilo kwahiyo huwa wanategesha vioo vile ili wawapige chabo.
Madereva Bajaji acheni umbea mtasababisha ajali zisizo za msingi umbea sio dili.