Madereva acheni kabisa hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madereva acheni kabisa hili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Mar 2, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa naendesha gari kwa muda sasa, jambo ambalo silitaki kabisa ni kugonga binadamu na kuua kwani yule atakayekufa anaweza kuwa ni bread winner hivyo kuacha msiba mkubwa kwa dependants wake. Pili, mimi mwenyewe naweza kuishia jela na kuwaacha dependants wangu pabaya.

  Ninachosema ni kwamba USI-OVERTAKE GARI LA MBELE YAKO HASA LILILOSIMAMA KWENYE ZEBRA CROSSING kwani huyo dereva atakuwa amesimama kupisha watembea kwa miguu kuvuka barabara (watu wazima, wazee, watoto, wagonjwa, wanafunzi). Kama uki-overtake, ujue unatembeza MASSACRE!! Kwa kifupi kitendo hiki ni ujinga na upumbavu!!!
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  He hongera kwa kutoa somo. Ucheki na akili za baadhi ya madereva maana siyo kuovertake kwenye zebra tu hata kwenye mlima ambapo mtu haoni mbele
   
 3. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Uahauri wa kawaida sana
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ushauri mzuri, but how do you know kwamba pana zebra, na alama zetu za barabarani za kibongo. Unakweda kujua pana tuta au zebra baada ya hatua kama tano hivi kupafikia. wewe haijawahi kukutokea ukalivaa tuta bila kukusudia? Vivyo hivyo kugonga mtu kwenye zebra. Wewe ukiona umeendesha salama siku hiyo mshukuru sana Mungu.
   
 5. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muombe Mungu akuepushe na ajali siyo kujisifia unachojua kukifanya.
  MM nilikuwa nadrive tena very slowly kwa sababu nilikuwa naingia kwenye kibao kilichokuwa kikionesha spidi 50 ila kuna mtu alitoka porini na lori la mchanga akaja kuigonga gari ya nyuma yangu kwa ubavuni na kuuwa watu wa3. Hakuna kinga ya ajari zaidi ya kumuomba Mungu atuepushie mbali
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Usio wa kawaida unakuwaje?
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata ajali zinatokea kwenye mazingira ya kawaida sana
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Lakini wa muhimu..
   
Loading...