Madeni mengine serikali ina tia aibu

Madeni mengine serikali ina tia aibu

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
549
Hebu ona hapa.

Aliye kuja kuweka jiwe la msingi hapa alijisikiaje?
IMG-20171111-WA0006.jpg
 
Walisha zoea zuluma mkuu, shigongo alizungushwa wee mpaka akakata tamaa
 
Kiukweli huyu kwangu Anaweza kuwa ndio fundi mtata zaidi kuwahi kusikia .

Sijui imetokea mkoa gani ila na wish nionane nae huyo fundi nimpe japo Cola ya jero tu.

17fbfa70bdb0ac699179b3c5b672565c.jpg


 
Back
Top Bottom