MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 328 Aug 9, 2014 #1 Madenge kweli ana akili sana, eti kaulizwa ataoa lini? Akajibu nasubiri mwanamke atakaeachika ndio nimuoe, watu wakamshangaa, wakamuuliza kwa nini unataka aliyeachika? Akawajibu kwa sababu Biblia inasema MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA
Madenge kweli ana akili sana, eti kaulizwa ataoa lini? Akajibu nasubiri mwanamke atakaeachika ndio nimuoe, watu wakamshangaa, wakamuuliza kwa nini unataka aliyeachika? Akawajibu kwa sababu Biblia inasema MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA