Mademu

Hahahaaaaaaaaaa! Mtumzima Atishiwi Nyau!!!!!!!!!!!

Kujiangalia, kujikosehsa raha, kujistukia na kuwaona wengine ndo wanastahili kuvaa kitu falani ni umburulaaaaaaaaaaa!!!!!!

Kazi ya Mungu haina Makosa na Sikujiumba, so kama sikujaaliwa na Maulana basi nifanyaje? niwe mnyonge na kuwaona wengine ndo wanastahili zaidi? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!!!11

Navaa vizuri chochote nafsi yangu inachojisikia kuvaaaaaa! Kama unaona mwili wangu una kasoro wasiliana na Maulana umkosoe kwa kunipa vispoku na sio guu la bia!?? Kama huo uwezo unao? Kama huna kakojoe ulaleee eeeh mtoto mzuri!

Ukijiangalia Ulivyo huto vaa fashion yoyote, wala hutotoka ndani na watu watahakikisha wanaikali na kujigalagaza kwenye self esteem yako mpaka akili zitakapokurudi kuwa hao wenyewe hawana lolote!!!!!!!!

uploadfromtaptalk1371011476176.jpg
....
 
kwa wasichana mkichukia sawa tu:mgongo" umechanjwa chanjwa kama
mganga wa kienyeji bado unavaa kinguo kinaacha mgongo wazi,mguu" umekomaa kigimbi hicho kama mcheza mpira wa miguu, "eti nawe kimini kila siku",kingereza" kibovu, unajidai kila sentensi kutupia 'yes' 'no' 'i wish' 'may be'. Hahaha! Kumbe mburula tu,ngozi" nyeusi tii, na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....hivi mnatambua kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha sana tunapowaona humu na huko barabarani!??? Yani hamjui tu mnavochekesha na laiti kama mngekuwa mnajua sidhani kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!mewaza tu jaman
kwa hisani ya watu wamachame wakishrikiana na lyamungo.

pole maskini, unaumia eh? Si uwaache tu kwa raha zao na wewe kula raha kivyako
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Mimi ukiniambia MZURI AU MBAYA kukubaliana inategemeana na wewe kama MZURI au MBAYA?????????? Mambo ya nyani haoni kundule siyatakagi!

Unakuta JITU BAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ! SURA IMEMSHUPAAAAAAAAA KAMA FUTARI YA GIMBI! afu eti anataka kukutingisha kuwa wewe mbaya! MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

Ila kama mcute roho itaniumaje ?

So baba WEKA PICHA kabla hatujaendelea usituchoshe tusikuchose! TUSICHOSHANE!!!!!!!!!!!!

HA HA YAANI WE ACHA TU.

Ila mie hata mtu akiwa mcute kama miss world, hawezi nitukana eti na roho iniume.

Nitajua wapi pa kumkamata tu, NO BODY HAS GOT ALL IN THIS LIFE. Unaweza kuta mdada mrembo sana, but anaishi maisha ya kichovu au very desperate sasa uzuri wake umemfikisha wapi????

kama unajidai mzuri na maybe ni mzuri kiukweli, then usinitukane maana lazima kuna sehemu sensitive nitakayokuzidi piga ua!

Siumizi watu wala siumizwi na binadamu yeyote yule.
 
Hahahaaaaaaaaaa! Mtumzima Atishiwi Nyau!!!!!!!!!!!

Kujiangalia, kujikosehsa raha, kujistukia na kuwaona wengine ndo wanastahili kuvaa kitu falani ni umburulaaaaaaaaaaa!!!!!!

Kazi ya Mungu haina Makosa na Sikujiumba, so kama sikujaaliwa na Maulana basi nifanyaje? niwe mnyonge na kuwaona wengine ndo wanastahili zaidi? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!!!11

Navaa vizuri chochote nafsi yangu inachojisikia kuvaaaaaa! Kama unaona mwili wangu una kasoro wasiliana na Maulana umkosoe kwa kunipa vispoku na sio guu la bia!?? Kama huo uwezo unao? Kama huna kakojoe ulaleee eeeh mtoto mzuri!

Ukijiangalia Ulivyo huto vaa fashion yoyote, wala hutotoka ndani na watu watahakikisha wanaikali na kujigalagaza kwenye self esteem yako mpaka akili zitakapokurudi kuwa hao wenyewe hawana lolote!!!!!!!!
duh sawa bwana...wapi MKURABITA???????????? Kimya sana kule!!!!
 
lara 1 = sinta
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Mimi ukiniambia MZURI AU MBAYA kukubaliana inategemeana na wewe kama MZURI au MBAYA?????????? Mambo ya nyani haoni kundule siyatakagi!

Unakuta JITU BAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ! SURA IMEMSHUPAAAAAAAAA KAMA FUTARI YA GIMBI! afu eti anataka kukutingisha kuwa wewe mbaya! MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

Ila kama mcute roho itaniumaje ?

So baba WEKA PICHA kabla hatujaendelea usituchoshe tusikuchose! TUSICHOSHANE!!!!!!!!!!!!

heheheeeeee heiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
mpe mpe vidonge vyake lolz.

By the way.. kila mtu ni mzuri kwa mtu wake. ..full stop. Kama unaona mbaya waachie wenzio.
 
KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama
Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha! Kumbe mburula tu,Ngozi" nyeusi tii, Na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....Hivi mnatambua Kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha Sana tunapowaona humu na huko Barabarani!??? yani hamjui tu mnavochekesha na laiti Kama mngekuwa mnajua sidhani Kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!Mewaza tu jaman
Kwa Hisani ya watu Wamachame wakishrikiana na Lyamungo.

Wa mbuzi ni huo ubongo wako au nini? Ungepata cha kuandika humu! Fa.la we!
 
KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama
Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha! Kumbe mburula tu,Ngozi" nyeusi tii, Na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....Hivi mnatambua Kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha Sana tunapowaona humu na huko Barabarani!??? yani hamjui tu mnavochekesha na laiti Kama mngekuwa mnajua sidhani Kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!Mewaza tu jaman
Kwa Hisani ya watu Wamachame wakishrikiana na Lyamungo.

oooops sihusiki....
 
Back
Top Bottom