Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,502
- 145,911
Bff wa kisura katishaa. Nilionaga Blac Chyna nae alichezaga Juju on the Beat
Huyo hapo na tumbo lake [alikuwa na mimba] na minyonyo yake.
Bff wa kisura katishaa. Nilionaga Blac Chyna nae alichezaga Juju on the Beat
Kuna rafiki yangu ILA Hata Hana makuu na Ana mwanya huo.weng wao
Baasi hawa watakua wana dunia yaoNakubaliana naww hapo ktk utamu kwakua utamu wa mwanaume anao yeye mwenyewe ... manjonjo na viungo vyake niinategemea na mwanamke utakayempata.
Ila sijui ni waongo sio kweli maana uongo ni tabia au hulka ya mtu.