Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na wote wanakula nyama utadhani wamemeza vidonge vya njaa na kunywa bora uunyweshwe msukule ila sio wale.
Ilibidi baada ya kunitambulisha nimpeleke pembeni nimuulize maswali haya:
Nilikwambia leo nina mdahalo?
Nilikwambia nataka kufungua VIKOBA?
Kwa sababu tulikutana kimazabe na hatukuwa tumejuana vizuri pia niliaga naenda haja ndogo na ndo ilikuwa nitolee hadi leo.Bili ya bia zao sijui ilikuwaje maana simu zilipigwa hadi leo kimya.
Mnakutana Na wanawake malimbukeni

sikukutegemea kama ungekuwa biased hivi. Hebu fikiri kidogo kuwa umemwalika mtu dinner kisha naye anawaalika wa aina yake watatu. Utafanya nini kama ni wewe? Kinadada elimikeni. Huyo katendwa kidogo tu na ingekuwa mie najilipia bia zangu tu mengineyo mtajuana na wenye baa.

Eee sasa kama ulikuwu unajisifia we mtoto wa Bakhresa ulitegemea nini?
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na wote wanakula nyama utadhani wamemeza vidonge vya njaa na kunywa bora uunyweshwe msukule ila sio wale.
Ilibidi baada ya kunitambulisha nimpeleke pembeni nimuulize maswali haya:
Nilikwambia leo nina mdahalo?
Nilikwambia nataka kufungua VIKOBA?
Kwa sababu tulikutana kimazabe na hatukuwa tumejuana vizuri pia niliaga naenda haja ndogo na ndo ilikuwa nitolee hadi leo.Bili ya bia zao sijui ilikuwaje maana simu zilipigwa hadi leo kimya.
Hii stor ya uwongo. Ila nimependa hizo 'hadi leo' zilivyokaa kaa