madhara ya div. 0 ndo haya sasa; tuliliona kama jambo dogo lakini madhara yake kwa taifa ndo yanaanza kujitokeza mdogo mdogo. Hivi fikiria kama tungekuwa tunaonana - unafikiri tungekuelewaje; unaumwa malaria ya ubongo, hazikutoshi, au kitu gani? Nani kakwambia warembo lazima watoke mkoa mmoja tu. Hata ukiangalia mamis huwa wanabadirika, mara mwanza, mara arusha, bukoba n.k.
sio siri mtoa uzi umenisikitisha sana.