Wana MMU kwa wale wenye uzoefu naomba mniambie vipi watoto wa kichaga wanaweza mambo?nataka nioe huku kuna mtoto wa kichaga nshampata ndo nataka nijue
Duh,kamanda you have spoken my mind.Mademu wa kichaga ni wababe sijapata kuona,mimi mwenyewe yasha nikuta najuta,kijana ajipange.Jiandae kununua stress killers kwani ni pasua kichwa sana...
Wana MMU kwa wale wenye uzoefu naomba mniambie vipi watoto wa kichaga wanaweza mambo?nataka nioe huku kuna mtoto wa kichaga nshampata ndo nataka nijue
Wana MMU kwa wale wenye uzoefu naomba mniambie vipi watoto wa kichaga wanaweza mambo?nataka nioe huku kuna mtoto wa kichaga nshampata ndo nataka nijue
Ujue nn sasa,unaoa uchaga au mwanamke? Kabila halina nafasi.
Kila kabila kuna element huwa wanazo ndo nataka kujua mfano wanyakyusa hasa wa kyela wana majivuno sana pia hawajatulia hili ni researched kabisa
Duh,kamanda you have spoken my mind.Mademu wa kichaga ni wababe sijapata kuona,mimi mwenyewe yasha nikuta najuta,kijana ajipange.