Mademu wa bongo mnaboa, wengi wenu mpo slow sana


Hiyo chini ni summary ya ulichoandika tar 18 March 2019.

Kwamba ndo umeanza kazi, huna hela, means kama umeshalipwa ni mwezi tu mmoja umepokea mshahara.

Hiyo paragraph nyingine unasema kuna siku utapata kwako, mzee ni kichomi 24 hours.

Sasa soma hayo uliyonijibu juu uone kama yanafanana na hayo uliyoandika kwenye hiyo post ya chini.

Further to that: Ukipata mwanamke kipindi hiki utampeleka hapo nyumbani kwa mzee ama?

Maana najua kama umelipwa mwezi tu, bado hujakusanya za guest.

 
NAONA MODS WAMEFUNGUA UZI WANGU WAKASOMA, WAKAONA UPO CHONJO,
Ila wakafanya tu kuedit title, kwa kuweka herufi ndogo zote, nilipokua nimekazia kwa herufi kubwa na kuyaacha maneno kama yalivo..

Note:
It needs changes no one is right for everythings.

"USIKU MWEMA WAPENDWA"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unafikir kama mzee wangu ni kichomi, nitaondoka.. nimuache???
Na ukichomi wake wew unaujua??.? Ni upi???

Then swala la kuowa, wala usiniulize, hilo lipo tu.
Tutakaa popote tu.
Kwani kibongo bongo ukiowa sio wanaume wote huwa tayar wamejenga.

Wapo wanaume wenye uwezo mkubwa lakin bado wameingia kwenye ndoa wakiwa bado hawajajenga.

Na kipindi cha mm kupata mke, wala sio tatizo.
Mungu atazungumza na mm nin cha kufanya na chakuandaa, kwa sasa Muda bado.

Mungu ndio master plan wangu,

So everything could be ok,

Mungu anazungumza na tumchao.

"ALAFU USIPEKENYUE SANA NYUZI ZANGU,
Muhimu kufanya kama ilivo andika BIBLE"
 

Duh, umenikomesha kwa kuandika mengi.

Inshort, hao wanaozingua hata kukuangalia siyo chaguo la Mungu kwako.

Na ukilalamika ni kama unamlalamikia Mungu.

Atatokea ambaye Mungu kampanga na atakupa attention.
 
Duh, umenikomesha kwa kuandika mengi.

Inshort, hao wanaozingua hata kukuangalia siyo chaguo la Mungu kwako.

Na ukilalamika ni kama unamlalamikia Mungu.

Atatokea ambaye Mungu kampanga na atakupa attention.
Sijaandika Mengi hata.

Na mm sijalalamika.

I am a Preacher.

Nimesema tu, na wala sijalazimisha mtu afate nilichosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ulowachamba bila shaka Mimi siko, maana sikogo mzembe kiasi hicho, unless use sio type yangu, zile zinazonitoaga udenda.

1: ukute mwanaume yupo yupo tu, kuvaa hajui
2: sio smart hata kidogo
3: analala kwa shemeji sebleni
4: ana miaka 35 bado anaendesha vits
5: hata kiwanja hana

Hivi kweli Huyu nae anataka achangamkiwe?

Mtuoneage huruma aiseee
 
Hapo na 4 kama umeniacha mkuu. Explain please
 
Unachukia unene ukiwa kwako mwenyewe au kwa mwingine? Kama unachukia kwa wengine mbona una shida halafu utakuwa na maisha magumu sana
Dada angu Khantwe, for sure nahis utakua wew upo overweight.

Nisamee bure, nachukia unene kutokana na kazi yangu, nakutana na wengi wanateseka kutokana na maisha ya kuwa na unene ulio pitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…