Achana na mademu wenye ufahamu wa kukuUnakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Anamwonya hatari....
Lo si kama anamshawishi anampatia sifa zako tu kiasi basi na huyo naya anashtuka mapema.
Sasa na wewe kwanini uchukue dame anayefahamiana na ex wako?
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
siku hizi mademu wanakataa, sijawahi ona kwa sasa! wanaume wenyewe wako wapi, labda kama unawavamia wanafunzi vyuoni maana wanajua kabisa kuwa kuna kudanganyana. Lakini huku mitaani, ni wewe tu.
Huenda alitaka nimtongoze tena.Daaah hao mademu wanaowakataa mamen wako wapi mbona naona kawaida tu kwanza ukiwa na mafuba ndio balaa tena watajitongozesha wenyewe tuu
Lo si kama anamshawishi anampatia sifa zako tu kiasi basi na huyo naya anashtuka mapema.
Sasa na wewe kwanini uchukue dame anayefahamiana na aliyekukataa?
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Lakini huyo mwenziye nishamtafuna pamoja na fitna zote.[/QUO
Lkn na bado kakutosa?
Kwani ka kwambia ameshawishiwa na mwenzie kukuacha au hisia zako?
Basi alikuwa si wako huyo songa mbele!
Lakini huyo mwenziye nishamtafuna pamoja na fitna zote.
notifeki inabidi ufanye pati demu akikutaa, maana ndio fursa nzuri ya kupima kama ulishusha viwango ama lah,