Mademu acheni kuvaa nguo zetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,009
Reaction score
61,260
Siku hizi watoto wa mjini wameibuka wamevamia nguo za wanaume kwa Kasi
Walianza t shirt za kiume
Wametengenezewa suruali za jeans wanavaa
Sasa hivi wameamia kwenye raba zetu.wamezigeuza mitoko yao mnazingua Sana vaeni kikike ndo maana mwisho wa siku mnadai hatuna Tena msisimiko na nyie wakati nyie wenyewe mnaiga mapigo ya kiumeni.
 

Attachments

  • Screenshot_20190429-164706~2.jpeg
    15.5 KB · Views: 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wanajiita wamestaarabika mkuu, na baadhi ya wanaume wanaona sawa tu.
 
kama ni mkeo au demuyo piga makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…