Madege ya usa army

naona f17 zinasindikiza bomber hapo juu..., yani tungekua na 1% ya ndege alizonazo mmarekani tungetisha!
 
Na yote hayo, wazee wa kazi wa Taliban wanawahenyesha na AK 47 zilizokuwa modified uwani. Kwi kwi kwi, teh teh teh!
 
Vita si madege bali ni mbinu tu. Hasa kujitoa mhanga kunawa,maliza nguvu!
 
Kwani unaongelea vita ya aina gani?? Maana kuna vita za aina nyingi..,

Kwa mfano, ipigwe total war kati ya afganistan na marekani, unadhani wamarekani wangechukua miezi mingap kusambaratisha kila kitu? isingezidi mitatu..., ila mambo ya kuijenga afghanistan ndo yana-cost american lives...,
 
Pamoja na madege yote hayo, lakini anaendelea kupigwa huko Afghanistan.Madege na masilaha ya ajabu sio uwezowa kivita. vita ni zaidi ya silaha.
 
Nakuunga mkono. Ni just a month kumaliza ka nchi ako. Je sheria za UN zinaruhusu na USA wanajifanya wastaarab?
 
Pamoja na madege yote hayo, lakini anaendelea kupigwa huko Afghanistan.Madege na masilaha ya ajabu sio uwezowa kivita. vita ni zaidi ya silaha.
sijui kichwa yako ikoje-kama kitu huji ni bora ukae kimya
 
Usipende blindly kijana au wewe upeo wako ndiyo mdogo. Licha ya kupigana kwa miaka kumi Wamarekani walipigwa Vietnam na silaha duni zaidi ya AK47 na wakaishia kukimbia kwa aibu. Hawana teknik za kupigana ardhini.

Walibaki kutengeneza film za akina Chuck Norris na Rambo kujizimua kutokana na aibu ile.
 
Bora kupenda blindly kuliko kuchukia blindly coz anaechukia blindly mwisho wake ni kujilipua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…