ha ha ha ha ha manina madem
[emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaume wa dar
Tia pilipili kichaa kama sita hivi,tujivu kidooogo ili kutia radha.Usisahau kunogesha na sumu ya panya japo kijiko kimoja na ukitaka ajilambe tia na nusu lita ya povu la ommo hapo lazima alale hapohapo kwa utamu.Maandalizi mema ya msosi mkuuWandugu msaada, Demu wangu anakuja geto kasema anahamu na ugali yeye anakuja na mboga kwahiyo niandae ugali kabisaa, sasa hapa nisha chemsha maji nimekatia kitunguu na tangawizi, nimeweka mafuta na chumvi yeyari na kisha nikaweka unga sasa ndo nimefunikia ndo nasikia vinachemka. Je inatakiwa nipakuwe baada ya muda gani ndo itakuwa ugali ushaiva?