Made in Tanzania? Have a Look, Please!

Haya magari yametengenezwa ufilipino...
ona picha hii
tram-010.jpg
 
Afadhali yao wameweza kutumia ujuzi wa nchi yao kutatua matatizo ya usafiri. Nani kasema tumetengeneza Nyumbu? Nyumbu ni Warusi walitujengea. Sisi hata baiskeli tu hatuwezi, hata sindano ya kushonea nguo hatuwezi. Hata pini ya kubania karatasi hatuwezi. Miaka yote hiyo (50) tangu uhuru. F(Elimu, uchumi, siasa,Error) = upuuzi mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom