MaDC na maRC wanatolea wapi kiburi!

Hawa ma DC uchwara wamkumbuke Dr. Kleruu aliekuwa mkuu wa mkoa wa iringa alifumuliwa kifua kwa risasi na mkulima Saidi Mwamwindi kwa mambo ya kipumbav yanayofanana na ya huyo DC ingekuwa mimi tungegawana taasisi yeye angeishia uzazi na vifo nami ningeishia wizara ya mambo ya ndani ujumbe ungefika kwa waliobaki duniani
Akina Morris wapo wengi siyo kama zamani lakini naona wakina Mwamwindi hawapo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana wenzetu baada ya kupewa madaraka na elimu zao za KKK yamewalevya kukandamiza kuwadhalilisha watumish na wananch waliochin yao...
Tofaut na madc/rc watu wazima wanakuwaga na hekima hata kwny maamuz yao huwa na weled sana...
Hata wale wanajeshi waliopewa ofis hawana ubabe wakipuuz...
.
.
KKK ndio tatzo lao kubwa
Enzi za akina Yusufu Makamba ma-RC walikuwa watu waungwana sana.
 
Enzi za akina Yusufu Makamba ma-RC walikuwa watu waungwana sana.
Yeaaah unanikumbusha mbali kidogo hao wazee walikuwa vzr saana vijana wenzetu leo yamewalevya mnooo wamekuwa miungu atiiii
 
Hawa vijana wenzetu baada ya kupewa madaraka na elimu zao za KKK yamewalevya kukandamiza kuwadhalilisha watumish na wananch waliochin yao...
Tofaut na madc/rc watu wazima wanakuwaga na hekima hata kwny maamuz yao huwa na weled sana...
Hata wale wanajeshi waliopewa ofis hawana ubabe wakipuuz...
.
.
KKK ndio tatzo lao kubwa
....Hopefully this will be noted. However I also hope that U know the reasons.... TAMAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom