maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Nimegundua kwamba Tanzania bado ina viongozi wachapakazi wanaoweza kuchapa kazi kwa moyo wa kijasiri kupindukia.
Kwa muktadha huo nimegundua pia kwamba aina ya uongozi wa juu wa kitaifa hasa ngazi ya Rais ndiyo chanzo cha maradhi ya uzembe, ubadhirifu, wizi, rushwa na mazonge mengine.
Ni maajabu kwamba sasa hivi kila kona maRC na maDC wamechachamaa kweli kweli, ni utumbuaji kwa kwenda mbele. Hakuna mkuu wa mkoa au wilaya anayezubaa wanawawsajibisha kweli kweli wenye makosa.
Hatua za jinsi hii hatukuwahi kuziona zikichukuliwa na wakuu wa ngazi hizi katika awamu zilizopita na hiki ndicho kilichopekekea hata baadhi ya wadau na wananchi kupendekeza kufutwa kwa nafasi za wakuu wa mikoa ama wilaya.