Madawa ya kulevya; Serikali kama ina nia ya dhati kutokomeza ianzie hapa kwa sasa!!

easier said than done,,unadhania ukiwa tayari addict,ni rahisi kuacha kama kuvaa nguo Fulani na kuvua???,

Eti hajaamua kubadilika moyoni,unavyoona kuna mtu anapenda kwa utashi wake kudhoofu,mpaka kila mtu anamshangaa....,kuwa gumzo kwenye media?

Nakusihi angalia picha za chid,afu ujiulize mtu wa hivi anapenda kweli kufikia alipofikia?

Happy new year.
Hujui unachosema,addicts asipoamua yeye kubadilika huwezi wewe kumbadilisha na may be unafikiri MTU kubadilika ni kutumia nguvu au kumfungia mahali au kumnyia hiki au kile.

Mtumiaji wa madawa ya kulevya asipoamua yeye kuomba msaada wa kuacha kutumia,au kwenda sober house ukamlazimisha akitoka atarudi kulekule tu ktk matumizi.

Na ndiyo maana nchi kama Marekani hawaangaiki na mtumiaji wanahangaika na muuzaji na msafirishaji.Mtumiaji atapewa msaada tu atakapoomba msaada kuwa anataka kuacha dawa.
 
Kwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!

Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwanini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwanini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?

Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?

Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!

Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana.

Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!

Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya?

Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!

Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!

Nawasilisha
Duuh, mkuu naona Makonda alipitia hapa!!
 
..... Mwigulu Nchemba inaonekana wizara hii imemshinda. Mimi ni miongoni mwa watu niliosifia uteuzi wake wizazra husika. Ila kwa sasa naona Tz tatizo siyo madawa tu, bali wizi, ujambazi, hasa Dar, na kibaya hakuna dalili za kuisha wala kutafutiwa ufumbuzi. Natamani wizara ile angepatikana kama Mrema. Mfano, kwanini wizi wa vifaa vya magari dar umeshamiri sana na wezi wanajulikana walipo na waziri yupo tu??? Kwa nini uvamizi umeshamiri na waziri yupo tu na hakuna mkakati?? Kwa nini watumia madawa wapo wanazagaa mitaani na waziri yupo tu??? I hate politics kwenye mambo ya msingi. Nchi haiwezi kuendelea in terms of viwanda kama hakuna usalama wa raia na mali zao.
mudawote wewe ni mzushi, leo unasema ati u hate politics wakati wewe unaona kabisa madhambi wanayofanya kijani na unayaunga mkono leo hii unachukia, daaah kweli ushaanza nyimwa buku 7
 
Hata akiwa addict kiasi gani still bado mabadiliko yanaanza na yeye mwenyewe wewe utalazima kumbadilisha kama hajaamua hatabadilika.

Addiction huwezi kutumia nguvu kuiondoa kwa mtu kama haitoki ndani.pata concept sio issue ya Huruma hapo kwasababu kuna MTU anadhalilika ktk media.

Pata kwanza kujua heroin ni nini elewa cocaine ni nini inafanyaje kazi mwilini mtumiaji kwanini anatumia na anafurahia nini mpaka anafikia addiction stage ndiyo utafahau.

Kama hataamua kuacha kutumia yeye mwenyewe wewe nafasi yako ya kusaidia ni kidogo sana kufika mafanikio.
daah ungeandika tu kiswahili, still bado ndio umemaanisha nini
 
Serikali ya Rais Magufuri kwenye hili sijawahi hata kuhisi nimeota wakilizingumzia.

Kama Rais ana nia ya dhati ya kupambana na umaskini ni vema apambane na kuimarisha Nguvu kazi ambayo moja wapo ni hii inayoangamia na madawa ya kulevya!
Sidhani Makonda anafanya kitu bila kumshirikisha Magu
Si ajabu amempa boost kwa kumqachia alilipuwe,
Angalia Mangu na Sirro wanavyonywea kwa Makonda
 
Duuh, mkuu naona Makonda alipitia hapa!!
Tusubiri tuone mwisho wake, isije ikawa ni mihemko ya kisiasa, inaweza ikawa ni hatua nzuri ya kuanzia!
Cha msingi hao watumiaji wabanwe umma utangaziwe wanakoyapata na wahusika wakuu ni akina nani na wanayaingizaje hapa nchini, na hatua kali zichukuliwe dhidi ya hawa wanaoyauza...
 
Kwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!

Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwanini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwanini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?

Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?

Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!

Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana.

Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!

Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya?

Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!

Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!

Nawasilisha

naona Makonda amezingatia huu ushauri wako mkuu. au wewe ndiye Makonda mwenyewe nini??
 
Hivi ikitengenezwa jela maalumu ambayo watu waadilifu kabisa watahudumia kiasi kwamba hakuna kitu chochote kuingia, wakakamatwa mateja wote walioathirika na kufungiwa humo miaka 3 bila kutoka wala kupata madawa huku wakiwa wanapewa vipindi na tiba na huduma zote bora za msingi hawatapona kweli?
 
Tuanzishe kamata mateja mtaani wotewaondoke tuone watamuuzia nani hayo maunga yao wale wenyewe na familia zao
 
naona Makonda amezingatia huu ushauri wako mkuu. au wewe ndiye Makonda mwenyewe nini??
Wala sina undungu wala ujirani na Makonda mkuu...
Kama hili akilichukulia serious na vyombo husika ikiwemo waziri wa mambo ya ndani, waziri mkuu na rais wakitoa ushirikiano wa kutosha bila kujali ni maslahi ya nani na yapi yanaguswa kwa kiasi flani matokeo mazuri yataonekana!
Tatizo linakuja pale siasa na rushwa zinapotumika...
 
Hivi ikitengenezwa jela maalumu ambayo watu waadilifu kabisa watahudumia kiasi kwamba hakuna kitu chochote kuingia, wakakamatwa mateja wote walioathirika na kufungiwa humo miaka 3 bila kutoka wala kupata madawa huku wakiwa wanapewa vipindi na tiba na huduma zote bora za msingi hawatapona kweli?
Unapowaweka kizuizini hawa mateja pekee kumbuka kuna vijana wengine ambao watakuwa ndio wanaanza hivyo baada ya mda tutaendelea kuwa na mateja!
Ingekuwa vyema kama hawa mateja watawekwa sorber basi na wale dealer wakamatwe wafungwe au kunyongwa kabisa hadharani!
Tatizo kubwa ni huo mtandao madon ndio wameushikilia na wengi ni vigogo serikalini au wafadhili wa vyama vya siasa...
 
Kwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!

Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwanini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwanini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?

Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?

Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!

Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana.

Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!

Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya?

Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!

Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!

Nawasilisha

Chid Benz ndo mdudu gani wew? Starehe yake ndo tuharibu kodi zetu kwa ajili yake? Kwani hakujua kuwa kujihusisha na madawa hayo ni uhalifu? Mwache afe azikwe maana malipo ni hapahapa duniani. Ingekuwa ni China wanakusanywa mateja wote wanatiwa kiberiti hadharani au kudungwa risasi za vichwa hadharani. Hakuna haja ya kuwabembelezabembeleza wakati walifahamu na ndo maana walikuwa wakifanya kwa siri. Kama serikali ingeamua kuwakusanya mateja wote na kuwamwagia petroli kisha kberiti bila shaka kwa hukumu hiyo hakuna kijana angethubutu kubwia unga maana angetambua hukumu iliyo mbele yake. Hakuna haja ya kuwaonea huruma hawa watu wala kuwachekea. Ukisha ondoa soko ambao ni watumiaji,wauzaji hawatapata wa kumuuzia hatimaye biashara itajifia yenyewe.

Mi namuunga mkono sana yule raisi wa Ufilipinio alie amua kuchukua hatua muafaka kwa kuwafumua risasi za vichwa wote wanaothibitika katika mtandao wa madawa ya kulevya.

Fyatua ama tia kiberiti wote. Hakuna cha nani wala nani!
 
Back
Top Bottom