SWEEPER
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 269
- 87
Vijana 123 wa Kitanzania wanakabiliwa na kesi za kuingiza madawa ya kulevyawa Hong pekee. Vijana wa Kitanzania 43 nchini China (Macau). Walio China (macau) wakithibitika ni kunyongwa au kifungo cha maisha. Wale wa Hong Kong ni ahueni kidogo kisheria.
Source: Balozi wa Tanzania nchini China akiongea na VOA.
Source: Balozi wa Tanzania nchini China akiongea na VOA.