kazi kwa Gwajima aliyetumiwa na CCM kumdhalilisha na kuiua Chadema kwa kuwa kuwadi wa Lowassa. Bravo Dr Slaa you are different, aibu kwao leo Gwajima analalamika nini? Si alitumia hata pesa kupanda kwenye madhabahu za kipepo ili kukudhalilisha wewe, ukakubali kuacha yote na hata kuhama nchi yako kwa ajili ya mateso yao. Sasa wamebaki na hapakaliki, hapatakalika mpaka watubu hiyo dhambi waliofanya.Dr. Slaa ni mwanasiasa aliyepevuka, hana kinyongo kabisa.
vip kaishiwa na hela ya mihogoAnaandika#Josephat_Ngwajima"
Pamoja na kupokea msgs na simu mbalimbali kutoka kwa watu wengi baada ya kutoka polisi nimepokea pia msg ya kugusa kutoka kwa Dr Wilbrod Slaa."
View attachment 469708
Alitaja mafisadi na nini wamefisidi ktk mahkama ya kisiasa na yakajibiwa kisiasa, mojawapo ni iptl, meremeta, epa, Richmond, nkDr Slaaa lazima awatetee
Ila mbona hazungumzii approach aloyoitumia mwembeyanga? Maana haina tofauti na approach aliyoitumia Makonda
Dr. Slaa ni mwanasiasa aliyepevuka, hana kinyongo kabisa.
Daa kwa sasa matatu ngararumu sanaAnaandika#Josephat_Ngwajima"
Pamoja na kupokea msgs na simu mbalimbali kutoka kwa watu wengi baada ya kutoka polisi nimepokea pia msg ya kugusa kutoka kwa Dr Wilbrod Slaa."
View attachment 469708