MADARAKA EXPRESS IS FULLY BOOKED FOR EASTER CELEBRATION

Utanzania ni kidrive ur own car with family for holiday vacation.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapiii...nyie wengi mumesotea Dar halafu baadhi yenu wenye mihela kazi mipombe ya Pierre tu na chips mayai, unakuta Mtanzania anajisifia nchi yake kwamba ndio bora kwa vivutio vya utalii lakini ukimuuliza utashangaa hajawahi kutalii hata kivutio kimoja.
Sisi tunatalii nchi yetu na Afrika Mashariki yote, utatukuta hadi Zanzibar tumeenda kutalii.
 
Haha yaani hakuna domestic tourism bongo lazima wageni kutoka nje waje kutalii nchi yao
 
Hawaa watu si waongeze hizi train bana! nikichelewa ku book na siku chache napata karibu wiki nzima tayari iko over booked, this if frustrating..... mpaka siku hizi hata sijisumbui ku book SGR.... mimi ni wale watu wa ku booklast minute manake ua sitaki kujiekea siku flani ya kusafiri
 
thisdayes pata pesa ya kutoka Tandale kwanza afu ukifika Namanga uniambie na kama huna nauli inbox me nitakutumia hata za mlo hapa kinyesi kwa wingi utatia mdomoni pia kama wenzako.
 
Back
Top Bottom